instagramzone.cominstagramzone.com

Instagram Online Web Viewer

en

#infosportsoccer • Find out images about infosportsoccer via Instagram

Explore images about #infosportsoccer. Browse latest medias tagged with infosportsoccer from real instagram users and share them


item.PAGE_TITLE

REAL MADRID: Gareth Bale wa Real Madrid atazikosa mechi mbili za nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya kiazi cha mguu. #infosportsoccer

0 18

item.PAGE_TITLE

Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ilipoianzia kazi Simba, kuelekea mchezo ujao wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho {Azam Sports Federation Cup) utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi ijayo saa 10,00 jioni. #infosportsoccer

0 40

item.PAGE_TITLE

Vinara wa mabao ligi kuu vodacom tanzania bara Abdulrahman Mussa Ruvu  12 Simon Msuva Yanga 12 Shiza Kichuya Simba 11 Mbaraka Yusuph Kagera 11 Amissi Tambwe Yanga 9 Obrey Chirwa Yanga 9 John Bocco Azam 8 Donald Ngoma Yanga 8 Mzamiru Yassin Simba 8 Raphael Daud Mbeya 8 Rashid Mandawa Mtibwa 7 Laudit Mavugo Simba 7 Kelvin Kongwe Majimaji  7 #infosportsoccer

0 25

item.PAGE_TITLE

Kiungo wa Tottenham Hotspur ya England, Dele Alli akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora chipukizi wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England (PFA) #infosportsoccer

0 25

item.PAGE_TITLE

Kiungo wa zamani wa kimataifa England, David Beckham akiwa ameshika tuzo yake ya Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA)  kwa mchango mkubwa kwenye soka nchini humo #infosportsoccer

0 18
 
item.PAGE_TITLE

Full-time Real Madrid 2-3 Fc Barcelona #infosportsoccer

0 18

item.PAGE_TITLE

Kamati ya sheria, Katiba na Hadhi za wachezaji umezifuta pointi 3 ilizopewa timu ya Simba SC kwenye mchezo dhidi ya KageraSugar Maamuzi hayo yametangazwa leo na Katibu mkuu wa TFF Selestin Mwesigwa katika ukumbi wa habari wa TFF Sababu za kufutwa kwa pointi hizo ni kucheleshwa kwa malalamiko ya Simba Sc dhidi ya Kagera Sugar, Simba SC kushindwa kulipia ada ya kukata rufaa kwa maamuzi ya mechi hiyo na kukosekana kwa uhalali wa kamati ya saa 72 kwa kuwahusisha wajumbe waaliikwa ambao hawakutakiwa kuwepo kwenye kamati hiyo #infosportsoccer

0 12

item.PAGE_TITLE

Ratiba ya FA almaarufu kama Azam sports Federation Cup Nusu Fainali 1. Simba Sc Vs Azam Fc tarehe 29.04.2017 Taifa 2. Mbao Fc Vs Yanga Sc tarehe 30.04.2017 Mwanza #infosportsoccer

0 12

item.PAGE_TITLE

BIG MATCH LEO LA LIGA REAL MADRID vs FC BARCELONA (21:45) #infosportsoccer

0 18

item.PAGE_TITLE

Full-time: Chelsea 4-2 Tottenham! Chelsea kakata tiketi ya kucheza Fainali anasubiriwa mshind wa kesho Kati ya Asernal Vs Manchester City #infosportsoccer

0 26

item.PAGE_TITLE

Full time Yanga 3-0 Tanzania prisons Tambwe Chirwa Msuva #infosportsoccer

0 19

item.PAGE_TITLE

Cristiano Ronaldo anataka kumwonaRobert Lewandowski akijiunga na klabu ya Real Madrid msimu ujao wa majira ya joto kwa mujibu wa AS . Inaaminika Mreno huyo amemwambia Robert Lewandowski kwamba anayo nafasi yake kwenye kikosi cha Real Madrid. #infosportsoccer

0 16

item.PAGE_TITLE

ALLADYCE ASEMA HAWANA MPANGO NA TERRY Kocha wa klabu ya Crystal Palace Sam Alladyce ‘Big Sam’ amesema klabu yake haina mpango wa kumsajili mkongwe anayeondoka Chelsea John Terry “Ninao Scott Dann, James Tomkins, Mamadou Sakho, Damien Delaney na Martin Kelly, kwahiyo katika beki ya kati tupo salama,Terry ni mchezaji bora ila kwa mabeki nilionao sioni jambo hilo likitokea hivi karibuni,” Aliseme Alladyce. Mbali na hilo Big Sam alitoa taarifa juu ya kurejea kikosini kwa beki James Tomkins na mshambuliaji Loic Remy kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Liverpool kesho Jumapili wakitoka kwenye majeruhi. #infosportsoccer

0 10

item.PAGE_TITLE

KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA TANZANIA PRISONS LEO ( ROBO FAINALI ASFC ) 1. Beno Kakolanya 2. Hassani Kessy 3. Haji Mwinyi 4. Kelvin Yondani 5. Nadir Haroub 6. Juma Makapu 7. Saimoni Msuva 8. Thabani Kamusoko 9. Obrey Chirwa 10. Amisi Tambwe 11. Geofrey Mwashuiya Akiba - Deogratius Munishi - Oscar Joshua - Andrew Vicent - Juma Mahadhi - Antony Matheo - Yusufu Mhiru - Emanuel Martin #infosportsoccer

1 17

item.PAGE_TITLE

#Azam federation cup FA cup robo Fainali leo katika dimba la taifa jijini dar es saalam Yanga sc Vs Tanzania prisons #infosportsoccer

0 21

item.PAGE_TITLE

Zlatan ibrahimovic atakuwa hatoonekana tena uwanjani na uzi wa Manchester united baada ya kuumia vibaya kenye mchezo wa Europe league #infosportsoccer

1 18

item.PAGE_TITLE

‘Kaburu’ amesema maamuzi ya Kamati ya masaa 72 kuwapa pointi tatu na mabao matatu yalikuwa na ukweli na hawana shaka yoyote Makamu mwenyekiti wa klabu ya Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu’ amesema maamuzi ya Kamati ya masaa 72 kuwapa pointi tatu na mabao matatu yalikuwa na ukweli na hawana shaka yoyote kwa Shirikisho la soka kupitia upya maamuzi hayo wakiamini hakuta kuwa na mabadiliko. “Sisi Simba hatuna hofu wala mashaka na tunaipongeza TFF, kuamua kujiridhisha kwa maamuzi yaliyofanywa na Bodi ya ligi, na sitarajii kama kutakuwa na mabadiliko zaidi ya yale yaliyotolewa awali,”amesema Kaburu. Kiongozi huyo amesema nayeye ni miongoni mwa wajumbe ambao watakuwemo kwenye mkutano huo wa kujiridhishwa na atakuwa makini kwa ajili ya maslahi ya timu hiyo kwani kitu cha msingi ni kuhakikisha haki ya Simba inapatikana. #infosportsoccer

0 34
Load More